Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d4e7d7c27a0594755f42b8d9faf14223.jpg
aseee
 
mods naombeni muufunge uzi huu maana hauna la maana sana ila sivi page ya 560 jana tuu! zipo thread za maana lakin coment hata mia hamna? watanzania kweli mambo ya ujinga ndio tunayoyapenda ila ya maana hata kuyasoma ni mbinde!! so sad!
Binadamu ni kiumbe tata sana na huwezi kumpangia la kufanya. As long as watu hawavunji sheria wala kubughudhi mtu, waache wafanye yao. Otherwise utashindwa kuishi...
 
Back
Top Bottom