Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8617861289967_status_3b1e461089844baaa6222ec81d91d736.jpg
halafu anatokea popoma wa PCB anakwambia HKL rahisi. Daah
 
Niseme tu hii ban ni halali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rest in peace Anko... Mwee!!!
Kwani hauwezagi kunyamaza?
Haya tupia tafiti zako haraka haraka kabla hajakuwezea... Mimi nitajitahidi kuminya minya nanihii kumzubaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kauli za mzee wa liver
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good Lord..! Nitaambia nini watu.?

Shikamoo bro, nyumbani hawajambo.!? Vipi mashamba na mifugo.!? Na wale majirani wanaendeleaje?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Marahaba sis. Kila kitu kiko salama. Ni haka kamdudu Korona kanatingisha sana ila mambo ni shwari. Mashamba na mifupo na hata majirani nao wako poa. Kwako huko vipi?

Bado napanga na kupangua gia ya kuingilia home. Ni kama mzazi aliyeitelekeza familia fo twenti yiazi na sasa anapiga mahesabu jinsi ya kurudi. Jizazi wili givu mi ze kareji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom