Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Aaah! Wewe jamaa upo vizuri sana, chukua pen usaini mkatabakama gari, fedha, nyumba nilikupa, lakini bado penzi lako............
aigooooo aigoooo mkorea mweusi amevurugwa na urojo
hivi dully hafikishi nyimbo 100?Nakupenda - Dully & Besta
Nampenda babu kizeee, nampendwa kikongweeKikongwe - Picco
πππSis. Izi zati yu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
π β¬ οΈπΆπΆββοΈπΆ.....nenda polisi ukaombe msamaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kauli za mzee wa liverNiseme tu hii ban ni halali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rest in peace Anko... Mwee!!!
Kwani hauwezagi kunyamaza?
Haya tupia tafiti zako haraka haraka kabla hajakuwezea... Mimi nitajitahidi kuminya minya nanihii kumzubaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ipoNeno bora sana anko. Kupitia humu nimepunguza ligi zisizo na kichwa but daah muda si mrefu si nimemsunta mod(jamaa kaja na id yake ya active akionyesha mahaba kwa team mond huko) jaman hapa nilipo najiandaa na kifungo kingine
ππππππ π
Hako sahii ndiyo kamsemo trending, The Happiness anakapenda, namuonaga kwa ile thread anavyokashangilia.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]kunyamaza kule ni ngumu jamaniEsta tayari yuko huko anasaka ban. Dah !!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1413789
Sina uhakika ila kiukweli anazo nyimbo nyingi sanahivi dully hafikishi nyimbo 100?
ππππππ noma sana noma sanaNampenda babu kizeee, nampendwa kikongwee
Sikuona πKabla ya hiyo statement kilikua na neno *Sina*
ππππ AbeeπββοΈπββοΈπ π
Hako sahii ndiyo kamsemo trending, The Happiness anakapenda, namuonaga kwa ile thread anavyokashangilia.!!
Unfortunately huyu jamaa ni Mkerewe [emoji16][emoji16][emoji16]Eeh wasukuma mmezidi [emoji3][emoji3][emoji3]
πππππ
Alafu niliona na ule mnyapio wa yule baharia mshusha mashairi, nilitaka kulianzisha sema nilihofia kuharibu uzi wa maisha π
Shindwaaaa....hakunaga Mkerewe mshamba hivyo.Unfortunately huyu jamaa ni Mkerewe [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good Lord..! Nitaambia nini watu.?
Shikamoo bro, nyumbani hawajambo.!? Vipi mashamba na mifugo.!? Na wale majirani wanaendeleaje?