D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Thank youDae you never disappoint wallah 😂😂😂
Hizo rojo unazokula usiziache
kwa kuthamini, kutambua na hata kuheshimu michango yangu
Thank youDae you never disappoint wallah 😂😂😂
Hizo rojo unazokula usiziache
Ningeanza na Mambo mengine gani kwa mfano ?Sasa mkuu unaanzaje kuiongelea filimbi ya mwanaume mwenzio kabla ya mambo mengine
Hahah! Ile ilikuwa jana mzee 😀Hahah! ya siksi paki
Hongera kwa kuzionaMara nyingi tu
wengine tumeona tumbo la mjamzito....... mwenzetu umeona firimbi ndio maana wanashangaa jinsi ulivyobarikiwa jicho kali kama mweweNingeanza na Mambo mengine gani kwa mfano ?
.
Kuongelea filimbi Kun leta Shida ipi Regarding hiyo ni Pich ya kituko(funny picture )??
mambo ya fasihi ni diamond mwandishi jukwaa tumbuiza.Kama ni ile section pendwa kwa essay basi unalamba maksi zako 20
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 daah!Nilikafaidi kakijana ka kishua,ukuta mshabadilisha rangi au ni ile ile?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mengine kama mbona kitambi kikubwa hivyo,huyu akidondosha rimoti anaiokotaje etcNingeanza na Mambo mengine gani kwa mfano ?
.
Kuongelea filimbi Kun leta Shida ipi Regarding hiyo ni Pich ya kituko(funny picture )??
😀😀 basi anne akafurahiHahah! Ile ilikuwa jana mzee 😀
Hahahaha hapo kama kawaidamambo ya fasihi ni diamond mwandishi jukwaa tumbuiza.
Wakiweka kwa marks 20 basi ujue litakuja na watoto kibao (a, b, c, d)
Hahah! Tunapiga miguu yote kama Cr7 bro, kuna maeneo ukienda kama huna fruit hutambi kabisa, ila favourite ni SNaona tunda
For those of you who are not aware, 241543903 is a trending meme that involves taking a photo of yourself with your head inside the freezer.Je, Wajua?
Kuna siri kubwa mno imejificha ndani ya namba 251543903. Uziandikapo namba hizo “Google” na kutafuta (Search) kisha ukaenda kwenye kipengele cha picha (Images) Basi 99% ya picha utakazoziona ni za vichwa vya watu kutumbukia ama kutumbukizwa ndani ya jokofu (Fridge)
=========
nilifikiri ni uongo hatimaye nimeamua kujaribu
View attachment 1413996
Siunamjua dada yako akishikilia bango hashushi mpaka mamlaka watekeleze matakwa yake 😀😀😀 basi anne akafurahi
S hata kwangu mkuuHahah! Tunapiga miguu yote kama Cr7 bro, kuna maeneo ukienda kama huna fruit hutambi kabisa, ila favourite ni S
😂😂😂 nikasema huogopi dhambiYan wewe si nilihisi kesho jumamosi ndio maana nikafanya kilichofanyika 😂