Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Unadhani huyo camera man nae alikuwa Mwafrika basi?Mambo mengine yalikuwa kujitakia tu.
Zamisha huyo mzungu mambo yaishe View attachment 1416091
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Unadhani huyo camera man nae alikuwa Mwafrika basi?Mambo mengine yalikuwa kujitakia tu.
Zamisha huyo mzungu mambo yaishe View attachment 1416091
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nikija home mjipange sasa 😀
Na Lutengano (51) pia usimsahau[emoji40][emoji40]View attachment 1416052
Huyu Ni wale malegend ambao wakitangulia kupakua chakula wanaambiwa wenzio bado hawajakula
Amani itawale weekend hii
1 kipande na 2 kipande inakuwa ni moja yenye aina mbili...Swali limeuliza 1 au 2 wewe unajibu moja na mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe akili zetu zimelala siku nyingi...Mambo mengine yalikuwa kujitakia tu.
Zamisha huyo mzungu mambo yaishe View attachment 1416091
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijanunua Hadi Leo.1 kipande na 2 kipande inakuwa ni moja yenye aina mbili...
Vipi chocolate ulipata?
Komoni hiyo
Hivi ankoo nishawahi kuwa mkali eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ni mwema ndugu yangu, ni mwendo wa kujifungia tu. Tuombe Mungu hili nalo lipite.Haya bro, kwema lakini pande hizo?
Yaah!Mawasiliano
Kumbe akili zetu zimelala siku nyingi...