Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jua – midomo ipo usoni kuikinga na jua ni kazi sana ni hadi uvae kofia lakini ni vipi endapo sehemu unazo tembelea mara kwa mara hazikuruhusu wewe kuvaa kofia? ni vyema ukapaka lipstick ili kuzuia midomo yako kuharibika na jua, baridi au hata upepo ambapo vitu hivi vinaweza kuiletea midomo yako madhara
 
Lipstick kama eyeshadow



pia una weza kutumia lipstick kama eyeshadow na ika pendeza tu aina yoyote ya lipstick ina pendeza kuwa kama eyeshadow iwe lipstick kavu au ya mafuta lakini ni vizuri pia ukatumia zile rangi za kuonekana zaidi kama nyekundu, blue nk.
 
ee unajua kuwa msongo wa mawazo unachangia mafuta yako kugoma na uso wako kujaa chunusi kwa wingi. Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu msongo wa mawazo ama kama inavyojulikana sana “ stress”. wengine wana stress za maisha, maradhi, ugonjwa, masomo na mambo kadha kadha. kwa kifupi kila mmoja na maana yake.
 
Hapa utajifunza ukiwa na stress ni nini kinatokea hadi unahisi kuchoka, huna hamu ya kula ama hamu ya kula inaongezeka zaidi, unahisi hasira wakati wote na mbaya zaidi unapata chunusi na yale mafuta yako mazuri unayopaka usoni siku zote yanagoma.
 
Wakazi wa kipato cha chini katika jiji la New Delhi nchini India wamerundikana kupata usafiri wa kuwarudisha vijijini kwao kupisha siku 21 za kujizuia majumbani.
Lockdown
FB_IMG_1586619990378.jpeg
 
Back
Top Bottom