Walifungaga ndoa kama sikoseiJamaa ndio alimtokea mtoto sasa wakati wa mchakato mzima siunajua lazima waanze kuchunguzana, alafu she anakaa mbele alikuwa hajui kama jamaa ni msanii sasa wakati wa kumchunguza akajua hilo na wakati anasikiliza kazi za jamaa ndio akasikia hiyo Roho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesu wangu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hipsi gani nilizokuwa nazo mtu akae kuniangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijaelewaUmeelewa bata ni nini?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Thank you dav[emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah ila wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo yangekuwepo ungenimwagia?
It's killing me too[emoji124][emoji124][emoji124]Brandy~ Long Distance
Sio poa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mkitoka hapo mnatusema tunajilengesha[emoji23][emoji23]
Mdada anaweza asiwe na hisia na wewe lakini baada ya kumfata zikaanza kuja kwa kasi lakini sisi kwetu huwa tofauti kidogo bro!Hahahahaha.
Hata wao kama hawatupendi si huwa wanatudundisha bro[emoji23][emoji23]
Hiyo ni kawaida, ikibidi waweke na mkwanja mezani kama tunavyofanya wanaume
Daah eeh bwana eeh
Hapo sasa[emoji23][emoji23]
Kwamaana nyingine bro mnataka kuhongwa??[emoji849][emoji849]
🤗🤗🤗[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Thank you dav[emoji122][emoji122]