Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_15862716617345096.jpg
 
Hapana, watu wa nyakati zetu hawakuwahi kumuona nabii huyo wa Mungu kiasi cha kupigwa picha yake.
Labda ni vibeberu vya zama hizi.
Nabii Issa as huwezi kumuona kwenye picha kama sanamu.
Samahani kama hukuipenda comments yangu
Mwanzo nilitaka kukuandikia hivi "inasemekana ni Issa Bin Mariam / Yesu" ila usingizi ulikuwa umenizidi.
Ninyi Yesu si ndio mnamuita Issa? Kama jibu litakuwa ndio basi imani ifate mkondo wake na mjadala uishie hapa sbb Hata wewe hukuwepo.

Ila hizi dini tulizoletewa na Mzungu + Muarabu ukichimbua kila kitu kuna vingine havina majibu kabisa........so the Better way ni kila mmoja aamini anachoamini other wise aje atokee mwenyezi Mungu mwenyewe atupe ukweli wa mambo yote
 
Ila kuna vitu hata kwa macho tu vinagoma kuamini
Happy Easter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namwamwini Mungu Baba mwenyezi,muumba was mbinguni na nchi na Yesu Kristo Mwana wake wa pekee
Bwana wetu,Aliyechukuliwa mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu
Akazaliwa na Bikira Mariam
Akateswa zamani za pontio pilato
Akasulibiwa
Akafa
Akazikwa
Akashuka kuzimu
Siku ya tatu akafufuka kutoka kwa watu
Akapaa mbinguni
Ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba mwenyezi
Kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu
Namwamwini Roho mtakatifu
Kanisa kathiliko
Ushirika wa watakatifu
Ondoleo la dhambi
Kufufuliwa kwa mwili na uzima wa milele.
1586662499577.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom