Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huwa nalala tu
Naweza kukaa tu bila kufanya chochote.
PC yangu haina movie hata Moja zaidi ya nyimbo zangu za kwaya na praise..
Sijui naumwa Mimi [emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kukaa tu bila kufanya chochote.
PC yangu haina movie hata Moja zaidi ya nyimbo zangu za kwaya na praise..
Sijui naumwa Mimi [emoji134]
Unaangaliaje TBC?wewe ni mzee?
Unapenda kufanya nini muda wako wa kupumzika?
Sent using Jamii Forums mobile app