Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Unaangaliaje TBC?wewe ni mzee?
Unapenda kufanya nini muda wako wa kupumzika?
Jirani anataka upewe
AiseeHuwa nalala tu
Naweza kukaa tu bila kufanya chochote.
PC yangu haina movie hata Moja zaidi ya nyimbo zangu za kwaya na praise..
Sijui naumwa Mimi [emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Laaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani anataka upewe
Swali ni je,uko tayari kupewa?[emoji16]
Hata mia taja basi tuzifate fastaHahah! Mnataka ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro wako anachanganya kizungu na kichina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Laaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu Uzi hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeomba vyote,picha na vn
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 wakiona mambo ya humu hawatoamini kwamba ni mimi kabisa...Laiti wangejua kuwa huna akili[emoji23][emoji23][emoji23]
#nanianakuchekeshaeti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si utasaidia kusuuza jiraniDuh! Haya jirani...maana navaa yebo nitoke wewe unaosha vyombo!
Aiseeh!!Huwa nalala tu
Naweza kukaa tu bila kufanya chochote.
PC yangu haina movie hata Moja zaidi ya nyimbo zangu za kwaya na praise..
Sijui naumwa Mimi [emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si utasaidia kusuuza jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki ya Nani mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nisikutese nikupe 😀
Je,uko tayari kupewa?Laaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu Uzi hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeomba vyote,picha na vn
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuaga hivyo hivyo mdogo mdogo nikajifunza kuzisaka mitandaoni,now am addicted bora usijaribu movie zinakula helaHadi muda huu sijui season hata moja zaidi ya movie ya shumireta na nsyuka tu[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakiona mambo ya humu hawatoamini kwamba ni mimi kabisa...
#hukunilipokimbilia
#kunafalammojaanaongeasana