carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa sauti ya denverHahah! na kuosha rungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]ehView attachment 1417471
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania imefuta safari za Ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua nchini, hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19. #MillardAyoUPDATES
Biriyani wapi babe, nimeshindia mahind ya kuchemsha[emoji852]Biriyani imeisha ety?
Dah, asavaliMamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania imefuta safari za Ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua nchini, hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19. #MillardAyoUPDATES
Kwa nini anko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Waswahili tuna safari ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39]Biriyani wapi babe, nimeshindia mahind ya kuchemsha[emoji852]
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kabsa, mvua hiziHabari ya kuamka kivuruge[emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi majibu yaliyo kuja msimu wa corona haya ni kweli yanatoka kwenye kinywa cha mwanaume au ni watu wanajitengenezea tu?![emoji3]ehView attachment 1417471
[emoji3][emoji3][emoji3] unayapenda eh...[emoji39][emoji39][emoji39]
Watu tunayapokea hayo ankoHivi majibu yaliyo kuja msimu wa corona haya ni kweli yanatoka kwenye kinywa cha mwanaume au ni watu wanajitengenezea tu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha, ankoo naona watu wameamua kujiongezaa tu tufurahi, ila kuna mahusiano mengine yako hivyoo anko.!Hivi majibu yaliyo kuja msimu wa corona haya ni kweli yanatoka kwenye kinywa cha mwanaume au ni watu wanajitengenezea tu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana aisee, ila usiyatie chumvi[emoji3][emoji3][emoji3] unayapenda eh...
[emoji2296]haaWatu tunayapokea hayo anko
Walishindwa kuchukua tahadhari mwanzoni kwa kuzuia,leo hii wanazuia wakati maambukizi yameshasambaa mitaani.Kwa nini anko
[emoji23][emoji23]
Eeh ndioo[emoji2296]haa