The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Eenh, hatuweki chumvii huku tena tunachemsha pamoja na mabogaSana aisee, ila usiyatie chumvi
Eenh, hatuweki chumvii huku tena tunachemsha pamoja na mabogaSana aisee, ila usiyatie chumvi
We acha tu ankoWalishindwa kuchukua tahadhari mwanzoni kwa kuzuia,leo hii wanazuia wakati maambukizi yameshasambaa mitaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
DaahEenh, hatuweki chumvii huku tena tunachemsha pamoja na maboga
Mwanaume akujibu ugoro huo? Niwe mwanamke nijibiwe hivyo... HiiiiiiiiiiWatu tunayapokea hayo anko
Karibu sanaDaah
Utafanya nini? Ndio umeshajibiwaMwanaume akujibu ugoro huo? Niwe mwanamke nijibiwe hivyo... Hiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ungefanyeje anko.?Mwanaume akujibu ugoro huo? Niwe mwanamke nijibiwe hivyo... Hiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiwe wanyenyekevu kupita kiasi na msipende kujionyesha kuwa unampenda kwa kwa dhati ya moyo wako.Haha, ankoo naona watu wameamua kujiongezaa tu tufurahi, ila kuna mahusiano mengine yako hivyoo anko.!
😂😂😂😂 Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaona mgeni anamuita mwenzie wakale 3some
Hivi inawezekana kumpenda mtu kwa dhati na usimuonyeshe?Msiwe wanyenyekevu kupita kiasi na msipende kujionyesha kuwa unampenda kwa kwa dhati ya moyo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 tupooo
[emoji2296][emoji2296]duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaona mgeni anamuita mwenzie wakale 3some
Utafanya nini? Ndio umeshajibiwa
Hata shangazi yenu huwa namwambia, ningekuwa mwanamke mimi nisingekuwa nadumu kwenye ndoa.Sipendi dharau, sipendi matusi wala kupigana. Kwahiyo ningekuwa wa kuolewa na kuachika.[emoji23][emoji23][emoji23]ungefanyeje anko.?
Mtihani huo ankoMsiwe wanyenyekevu kupita kiasi na msipende kujionyesha kuwa unampenda kwa kwa dhati ya moyo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine usingeolewa kabisa kama mimi anko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata shangazi yenu huwa namwambia, ningekuwa mwanamke mimi nisingekuwa nadumu kwenye ndoa.Sipendi dharau, sipendi matusi wala kupigana. Kwahiyo ningekuwa wa kuolewa na kuachika.
Uhuru wa nafsi yangu ni kipa umbele...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, ni rahisi tu. Ukiwa na uwezo wa kuyasoma madhaifu yake, unatumia udhaifu huo huo kumfanya awe na tahadhari na wewe kuliko kumpa nafasi ya kukutawala kifikra.Hivi inawezekana kumpenda mtu kwa dhati na usimuonyeshe?
Hahaha anko weweNdiyo, ni rahisi tu. Ukiwa na uwezo wa kuyasoma madhaifu yake, unatumia udhaifu huo huo kumfanya awe na tahadhari na wewe kuliko kumpa nafasi ya kukutawala kifikra.
Anzisha viugomvi vya amani vyenye suluhisho la haraka mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app