Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pengine usingeolewa kabisa kama mimi anko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi inawezekana kumpenda mtu kwa dhati na usimuonyeshe?
Ndiyo, ni rahisi tu. Ukiwa na uwezo wa kuyasoma madhaifu yake, unatumia udhaifu huo huo kumfanya awe na tahadhari na wewe kuliko kumpa nafasi ya kukutawala kifikra.
Anzisha viugomvi vya amani vyenye suluhisho la haraka mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…