Agiza ntalipia
Sasa ukienda milimani huko unaweza kukudondosha kabisaHaha, Nimewahi kufika, nadhani ilikuwa july au october upepo wake unapaushaa hatarii..!
πππππ sasa je mambo sindio hayo
Ww agiza ukishakunywa nalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanakupambania ukaoge
Sura sio Roho wala matendo
#ShwainizakoHennessyView attachment 1417681
Buku mbili nakupa
Nilipe madeni yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa je mambo sindio hayo
ππππ situmii bro
Ni mpya?Hii Goodbye ya Post Malon na Young Thug umepata kuisikia?
Ngoja kivuruge aondoke kulala ππ