Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Baridi mpendwaKisa nini mpendwa?
Baridi mpendwaKisa nini mpendwa?
Ndo hivyo babe, mi nakula na kipofu[emoji51]Babe mbona kama tumechelewa sana kuchukua hii hatua?
Nakuelewa sana ankoo.Anko haya mambo ni half half... Akikuliza upande fulani wewe mtafutie udhaifu wake nae mlize mara mbili.
Ila usianzishe mahusiano mapya ndani ya mahusiano, kifo kitakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni weeee weeeeee [emoji3]
Hizi job bhana dah.!! Pole babe[emoji852]Easter job kivuruge[emoji40]
Kwambaa?[emoji3]Kweli sura sio Roho [emoji3]View attachment 1417614
😀😀😀 Sura na Roho tofautiKwambaa?[emoji3]
[emoji3][emoji3]sasa alitakaje?[emoji2088]
Ntaelewa baadae...au niwe kama anne.?[emoji3][emoji3][emoji3] Sura na Roho tofauti
Nitamanishe basi ila sio sanaUmepata vitu zako au nikutamanishe?
Naelewa kakaUsisahau kuwa nchi yetu ni masikini sana
Kwamba bado hujaelewa? 😂Ntaelewa baadae...au niwe kama anne.?
Hahah!Nitamanishe basi ila sio sana