moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku wenu
Hahah! Huyu 50 nae kavurugwa tu yaani kupishana kimtindo na mwanae basi ndio aone bora angekuwa na 69?
Anko haya mambo ni half half... Akikuliza upande fulani wewe mtafutie udhaifu wake nae mlize mara mbili.Kwahiyo ankoo tuwe kama mabaharia?
Ni weeee weeeeee 😀Leo huyu sio mimi[emoji125][emoji125][emoji125]
Tunafanya maamuzi kwa kuchelewa sana.
Umepata vitu zako au nikutamanishe?Tunafanya maamuzi kwa kuchelewa sana.
Tunafanya maamuzi kwa kuchelewa sana.
SawasawaMamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania imefuta safari za Ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua nchini, hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19. #MillardAyoUPDATES
Teh, uje kesho tukuchumie pitiku[emoji3]Hayajabaki?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kula na kuliwa ni win-win situation?[emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeLeo huyu sio mimi[emoji125][emoji125][emoji125]
Ankoo haya mambo acha tufunike kombe tu