Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaokushangaa hawakuelewi mie nakuelewa vizuri tu upo huru na maisha yako,mpaka kucat na sie JF ni ishara ya kutokua na ushamba hata kwa asilimia moja. Upo kwenye right track in magu's voice
Wananishangaa jinsi nilivyo
Sina IG,snap,movies..
Nikiwaambia natumia jf wananishangaa.

Na Mimi nawashangaa wanavyolala saa 10 kwa ajili ya movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom