moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
😀😀😀 Anko upo na mali
Leo sitaki uniwekeNgoja kivuruge aondoke kulala [emoji3][emoji3]
Unaniangusha bro unakosa hata ngoma za Billboard au sio mambo zako hizi? 😀Ni mpya?
Sasa mtu yupo dar halafu hajisikii hamu ya kuoga..
Angekuwa huku kweru je,?
Hapa nimekaa sebuleni ila Kuna baridi utadhani nimekaa katikati ya uwanja wa mpira ambao unavuma Upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jielewa hiyo saa dogo
Ndio lipi Hilo?Sogeza blanket chapa asilia likupe joto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nakuelewa
Chart za Billboard sifwatilagi ila nyimbo za Post najua baadhi kama rockstar congratulationUnaniangusha bro unakosa hata ngoma za Billboard au sio mambo zako hizi? 😀
Yani wewe hadi utajikojolea
Unatakiwa kupewa list ya ngoma kumbe wewe 😀...Chart za Billboard sifwatilagi ila nyimbo za Post najua baadhi kama rockstar congratulation
Tunaanza na nini