Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha, pombe ni noma......kuna jamaa mmoja huyo alikunywa pombe za ofa huko, alivyorudi balaa akatuletea sisi[emoji23][emoji23][emoji23]

#hakuna_kulala
Walevi wana matendo ya ajabu sana.

Kuna mtu ni workmate alipiga vyombo kwenye party ya kazini halafu ni wale wa kb2 kila nikimuona nakumbuka mayendo yake tu baada ya kulewa[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo nae atakuletea sasa hivi njia za kukufanya upate hamu ya kuoga
Sasa mtu yupo dar halafu hajisikii hamu ya kuoga..
Angekuwa huku kweru je,?
Hapa nimekaa sebuleni ila Kuna baridi utadhani nimekaa katikati ya uwanja wa mpira ambao unavuma Upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom