carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwahiyo na wewe hujaoga?[emoji16][emoji16]Sasa mtu yupo dar halafu hajisikii hamu ya kuoga..
Angekuwa huku kweru je,?
Hapa nimekaa sebuleni ila Kuna baridi utadhani nimekaa katikati ya uwanja wa mpira ambao unavuma Upepo
Sent using Jamii Forums mobile app