Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi nilishaogaKwahiyo na wewe hujaoga?[emoji16][emoji16]
Ila Tangu nije mbeya sijawahi oga maji ya baridi hata kea bahati mbaya.
Hapa nawaza kwenda kulala maana kitanda kimepoa utadhani friji la barafu
Tunasubiri ngoma ya mwezi wa sita
Sent using Jamii Forums mobile app