moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Niogope Nini huku King mnyanyua vyuma yupo[emoji23][emoji23]
Hiyo Cake sio poa bro
Lol[emoji26]
MUNGU turehemu
Hatari sana
Salam kwa wooote
Mpendwa sitaki kuamini kama jana umeweka sauti yako ya kibabe😂😂😂 kwani imekuaje Mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Nikweli niliweka mpendwa maana sikuwa na namna siumeona nilivyokamatwa?Mpendwa sitaki kuamini kama jana umeweka sauti yako ya kibabe
Naona unanisukumia mpira bro 😀
Hatari sana
Naona unanisukumia mpira bro [emoji3]
Mimi nimeshindwa kuelewa babe.
Yaani kauli inatoka subiri akalale halafu watu wanapewa vyote.
#nimeumiasana[emoji17][emoji17]
Kule nilikimbia bro lakini naambiwa walichukuliwa familia nzima na watu waliochangamana bado wanazidi kutafutwa, lakini naona list imeongezeka labda wanaweza wakawa humo kwenye list mpya....Bro wale jirani zako wameishia wapi?
Dah hata hii imenipita tatizo nami sijui kupetipeti au kubembelezaHahah! Nikweli niliweka mpendwa maana sikuwa na namna siumeona nilivyokamatwa?
Hahah! Jana ulipita kututakia asubuhi njema ukapotea, ungekuwepo kidogo tu ungesikia mpendwaDah hata hii imenipita tatizo nami sijui kupetipeti au kubembeleza
Nakazia hapo kwenye #
#shuainizaonanusu
Naeleza niliyoyafeel[emoji91][emoji91][emoji7]
Kijana ana sauti tamu Sana
Yaani unajua kubembeleza jana mpaka saa nane usiku unabembeleza babe wa mtu akutumie voice nimecheka mno comments zenu asubuhi niliposoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]