myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana wa kula
✌✌✌Mida ya kula kulaView attachment 1418032
Hali ni mbaya bro huyu mdudu mtaani yupo mwingi sana sema basi tu, kwamfano hiyo kesi ya kitaa hapo kuna kijana wa kazi mule mjengoni hajulikani mahala alipo na anatafutwa kama jambazi nasikia...
Tuchukue sana tahadhari sisi wenyewe bila hata kushikiwa viboko na serikali, mjini sio salama sana kwa sasaAseee, kwahiyo inawezekana yuko chimbo na baharia furani wanakula bata wa pasaka huku bibie akiwa amebeba Covid19.
Shughuli itakuwa ngumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, kwahiyo mtaka cha uvunguni ni wewe au KD
Jambazi akitokeza King yupoHamkuogopa wanga,? Tangu lini mchawi akaogopa chuma unachobeba?
Rehema za Mungu Ni kwa wote.Mungu akurehemu kwani umefariki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KD uliitaje stella au anne?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimwita anne na yo yo yo zilkuwa nyingiKD uliitaje stella au anne?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwini itabidi akusurprise na cake kama hiyo kwenye bd yakoHiyo Cake sio poa bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alimwita anne na yo yo yo zilkuwa nyingi
😀