Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simu janja bora 2020 mpaka sasa kwa mujibu wa mtandao wa techradar.

1. Samsung Galaxy S20/S20Plus
2. Huawei P30 Pro
3. iPhone 11 Pro/11 Pro Max
4. Samsung Galaxy Note 10 Plus
5. iPhone 11
6. Huawei P30
7. OnePlus 7T Pro
8. Oppo Reno 10z Zoom
 
Kijong-Dong ni mji feki uliojengwa nchini Korea Kaskazini mpakani na Korea Kusini miaka 1950 baada ya vita nchi hizo. Mji huo huana watu wa kawaida bali wanajeshi tu wanaojifanya raia wa kawaida wanaoishi kwa raha na amani. Hata hivyo majengo mengi hayana watu, ulijengwa ili kuwavutia watu wa Korea Kusini wahamie Korea Kaskazini.
 
Laptop bora zaidi mpaka sasa kwa mujibu wa mtandao wa Techradar (2020).

1. HP Spectre c360
2. Dell XPS 13
3. Huawei MateBook 13
4. Acer Swift 3
5. MacBook Pro (16-inch, 2019)
6. Apple MacBook Air (2020)
7. Asus ROG Zephyrus G14
8. Dell G5 15 5590
9. HP Elite DragonFly
10. HP Envy x360 13 (2019)
 
Elaine Esposito aliweka rekodi ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu zaidi, mwaka 1941 akiwa na miaka 6 alipelekwa hospitali kwaajili ya upasuaji ya Appendix. Alipoteza fahamu baada ya kupigwa ganzi na kufariki mwaka 1978 ikiwa ni baada ya miaka 37 na siku 111 tangu apoteze fahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…