Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chapa zenye thamani zaidi duniani.

1. Apple- $205.5B
2. Google- $167.7B
3. Microsoft- $125.3B
4. Amazon- $97B
5. Facebook- $88.9B
6. Coca-Cola- $59.2B
7. Samsung- $53.1B
8. Disney- $52.2B
9. Toyota- $44.6B
10. McDonald's- $43.8B

Chanzo: Forbes
 
Nchi tajiri zaidi duniani 2020.

1. Marekani- $18.62T
2. China- $11.22T
3. Japan- $4.94T
4. Ujerumani-3.48T
5. Uingereza- 2.65T
6. Ufaransa- 2.47T
7. India- $2.26T
8. Italia- $1.86T
9. Brazil- $1.80T
10. Canada- $1.53T

Chanzo: World Popn Review
 
Kiuhalisia Korea Ya Kaskazini na Kusini mpaka sasa vita bado inaendelea sababu hakuna mkataba wowote uliosainiwa unaonesha vita hiyo ilimalizika bali ni mkataba pekee uliosainiwa ni kuweka eneo la mpaka baina yao kuwa la amani pasipo na majeshi.
 
Back
Top Bottom