Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mwananchi, Katika kipindi hichi cha janga la Corona kuwa makini na taarifa unazopokea na ambazo unasambaza pia katika mitandao yako ya kijamii hususani zinazohusu Covid19.
 
Chapa zenye thamani zaidi duniani.

1. Apple- $205.5B
2. Google- $167.7B
3. Microsoft- $125.3B
4. Amazon- $97B
5. Facebook- $88.9B
6. Coca-Cola- $59.2B
7. Samsung- $53.1B
8. Disney- $52.2B
9. Toyota- $44.6B
10. McDonald's- $43.8B

Chanzo: Forbes
 
Nchi tajiri zaidi duniani 2020.

1. Marekani- $18.62T
2. China- $11.22T
3. Japan- $4.94T
4. Ujerumani-3.48T
5. Uingereza- 2.65T
6. Ufaransa- 2.47T
7. India- $2.26T
8. Italia- $1.86T
9. Brazil- $1.80T
10. Canada- $1.53T

Chanzo: World Popn Review
 
Kiuhalisia Korea Ya Kaskazini na Kusini mpaka sasa vita bado inaendelea sababu hakuna mkataba wowote uliosainiwa unaonesha vita hiyo ilimalizika bali ni mkataba pekee uliosainiwa ni kuweka eneo la mpaka baina yao kuwa la amani pasipo na majeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…