myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila jambo na wakati
ngetulia na bob jamani wakapata katoto kengine kazuri
😂😂😂 aunt sidhani kama utaweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt niazime moyo wako kuna sehemu nataka nikautumieeee
Hivi chyna aliwahi mpenda bob kweli?ngetulia na bob jamani wakapata katoto kengine kazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivyo mpole hivi ntaweza😂😂😂 aunt sidhani kama utaweza
Kwa kiasi flan alianza kumpenda sema dada zake bob wafukunyuku wakamvuruga nae akawavuruga vizuriHivi chyna aliwahi mpenda bob kweli?
Wakali wa hizi kazi za Celebrities 😂😂😂Kwa kiasi flan alianza kumpenda sema dada zake bob wafukunyuku wakamvuruga nae akawavuruga vizuri
Heehehehe cheeei humu siwezi bishana bana halafu carba hata nje ya hapa siwezi mbishia ntaishia[emoji125][emoji125]Wakali wa hizi kazi za Celebrities 😂😂😂
Ngoja muanze kubishana mpewe ban
Ila ile familia iko na shida mahaliKwa kiasi flan alianza kumpenda sema dada zake bob wafukunyuku wakamvuruga nae akawavuruga vizuri
Nimejikuta naimba wauguzi wauguzi daktari na manesi taratibu jamani hayaa tutaonana wabayaTutaonana wabaya
Chillah
Ila ile familia iko na shida mahali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heehehehe cheeei humu siwezi bishana bana halafu carba hata nje ya hapa siwezi mbishia ntaishia[emoji125][emoji125]
Alitangaza etiKwa kiasi flan alianza kumpenda sema dada zake bob wafukunyuku wakamvuruga nae akawavuruga vizuri