Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Zlatan Ibrahimovic ambaye ameichezea Man United na sasa LA Galaxy ya Marekani alizaliwa wilaya ya Rosengard katika mji wa Malmo nchini Sweden, Zlatan amekuwa akiwa na sifa mbaya na ametokea katika familia ya kimasikini, baiskeli aliyokuwa anaitumia kwenda nayo mazoezini ilikuwa ya wizi.