Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipi Chochote ulifanyia kazi au ndio ulikuwa bize na upishi wa Pilau?
Ile siku maduka yalifungwa nikashindwa kununua..kuna duka Moja tu wanauza huku mtaani.
Jana nimeshinda na watoto Hadi jioni nikashindwa kutoka.
Leo naweza kwenda kununua baadaye wenye watoto wakirudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…