Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Didier Drogba amefanya vizuri sana na Chelsea kiasi hata cha kuweka rekodi ya kuwa ni mchezaji mwenye rekodi ya aina yake kwani kuna kipindi ilikuwa kila anapokutana na Arsenal ni lazima afunge goli, yupo katika list ya wachezaji wenye heshima zaidi katika historia ya klabu ya Chelsea lakini pia sambamba na Afrika ana nafasi kubwa sana katika soka na kuitangaza Afrika.