carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
No matter what they say
This heart belongs to you[emoji126][emoji126]
This heart belongs to you[emoji126][emoji126]
Mungu Wangu..!!!kwani lazima niandike kwa kiingilishi?
kheri ya kuzaliwa iwe juu yako Carleen
- utakapozima mishumaa iliyotapakaa kwenye keki yako tafadhali niruhusu nikuletee japo gari la zimamoto, nahofia huenda ukaunguza nyumba za watu zilizopo jirani na makaazi yako
- kwa mujibu wa takwimu uchwara, wale wote wanaosherehekea mara kwa mara siku zao za kuzaliwa ndio huishi muda mrefu zaidi hapa duniani......hivyo basi endelea kuenjoy siku hii tukufu kwako ili usife mapema kabla ya kushuhudia daemusin akiwa raisi wa nchi ya LIKES
- kuna wajinga wanaifananisha siku ya kuzaliwa na magamba ya pua yanayosababishwa na mafua, eti kadri yanapozidi kwenye pua ndio ugumu wa kupumua unapozidi...... ina maana kadri umri unapoongezeka uwezo wako wa kupumua, nguvu za kutembea zinazidi kupungua, ila naomba kwako iwe tofauti (Mungu akuzidishie nguvu zenye kuambatana na afya njema ya mwili na maisha bora kuliko malikia wa Uingereza)
😂😂😂😂😂😂
nimetuma na ya kutolea
Nitampa king akuleteeNani .?
Nyau utakuja nae nikiruhusiwa[emoji38]
A na B .Kwamba keshahribu sehemu au kachelewesha ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aanze tu[emoji849]Kwamba hajaomba msamaha hadi leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]VN itasema ukweli[emoji16][emoji16]
Simtaki mimi! Njoo wewe mdogo wakeNitampa king akuletee
Khaaa!Aanze tu[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nianze tu kujikoroga na kizungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy birthday to you my cute sister[emoji3590] R
Nilishakwambia vn Ni ya king[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunasubiri vn
#shuuuaainzake[emoji57]Khaaa!
[emoji134][emoji134]
Woooow'...!!Happy birthday to you my cute sister[emoji3590] R
May God grant you many years of joy and success
Enjoy your day baby girl [emoji8]
May you grow more and more in grace and knowledge of our Savior Christ [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni kindali eeh[emoji848][emoji848]Happy birthday to you my cute sister[emoji3590] R
May God grant you many years of joy and success
Enjoy your day baby girl [emoji8]
May you grow more and more in grace and knowledge of our Savior Christ [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app