myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wa sokoni na dukani poleni sana
👍 👍George Weah huyu ni mchezaji mwenye historia ya kipekee barani Afrika kwani ndiye mchezaji pekee kutoka bara hili kuwahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon d’Or) aliwahi kufanya hivyo mwaka 1995 akiwa katika klabu ya AC Milan ya Italia, amewahi kutamba pia katika klabu ya Man City lakini ndiye mchezaji pekee wa Afrika aliyecheza vilabu vyote viwili Man City na Chelsea
[emoji847][emoji847] kamefikaView attachment 1418939
[emoji3][emoji3] hako apo ukape maziwa
Hahah! hajambo
😁[emoji847][emoji847] kamefika