Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-04-14 reddit(2).png
 
Na kwako pia anko..!
Na hukuniita nikule pilau imagine..!!
Anko kule nimeogopa kudhalilika, nikuambie hapa kwa Kiswahili tu...

"hapo ulipo ni Mungu tu, mtegemee Bwana kwa kila jema na kama baya likitokea likawe ni funzo katika kukabiliana na changamoto"
Safari yako i salama ukimwamini Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako.

#shidakizunguhakipandimpakanilewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom