Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anko kule nimeogopa kudhalilika, nikuambie hapa kwa Kiswahili tu...

"hapo ulipo ni Mungu tu, mtegemee Bwana kwa kila jema na kama baya likitokea likawe ni funzo katika kukabiliana na changamoto"
Safari yako i salama ukimwamini Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako.

#shidakizunguhakipandimpakanilewe


Sent using Jamii Forums mobile app
#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo bhana
 
nimeangalia the blacklist pamoja na the brave, kilichonichukiza ni kwamba hadithi yake inabadilika kwa mujibu wa episodes......
stori kama hizi hazinivutii( niliwahi kuangalia criminal mind ya korea ikanishinda kwa sababu hiyo hiyo ya kubadilika badilika)

VALOR nimeangalia episode 3 lakini haijanishawishi (story yake ni nyepesi)

umeiona jack ryan ilivyo?
nahitaji series yenye mfumo kama huo.....
Angalia Treadstone
 
Screenshot_20200414-153709.png

Niko hapa nje nimevaa suruali ya solo na buti la jeje

Davet
 
Anko kule nimeogopa kudhalilika, nikuambie hapa kwa Kiswahili tu...

"hapo ulipo ni Mungu tu, mtegemee Bwana kwa kila jema na kama baya likitokea likawe ni funzo katika kukabiliana na changamoto"
Safari yako i salama ukimwamini Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako.

#shidakizunguhakipandimpakanilewe


Sent using Jamii Forums mobile app
Amina kubwa sana anko,
Ila ujue umeniacha na mixed feelings? Nimeshindwa ni like na ka emoji ka thanks, love ama nicheke,

Eti kizungu hakipandi mpaka nilewe.!
 
#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo bhana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani ile Anko muanzisha uzi alivyo kimwaga tu, nikaona akina Anko wengine hao na vimayai vyao...
Sasa mimi nilisoma somo la siasa huku nikikariri ramani ya Tanzania na wakuu wa mikoa/wilaya bila kuwasahau mawaziri, hicho kimayai ningekijulia wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom