Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani ile Anko muanzisha uzi alivyo kimwaga tu, nikaona akina Anko wengine hao na vimayai vyao...
Sasa mimi nilisoma somo la siasa huku nikikariri ramani ya Tanzania na wakuu wa mikoa/wilaya bila kuwasahau mawaziri, hicho kimayai ningekijulia wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tuliosoma sayansi kimu tunateseka sana.

#Nangoja nisome kizungu utakachoandika ankoo[emoji23][emoji23]
 
Amina kubwa sana anko,
Ila ujue umeniacha na mixed feelings? Nimeshindwa ni like na ka emoji ka thanks, love ama nicheke,

Eti kizungu hakipandi mpaka nilewe.!
Ankoo elimu yangu ni ya kipindi kile cha kugusa sikio ndio uanze darasa la kwanza. Ulazima ilikuwa ni kuchunga ng'ombe, darasani ilikuwa ni hiari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom