Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani ile Anko muanzisha uzi alivyo kimwaga tu, nikaona akina Anko wengine hao na vimayai vyao...
Sasa mimi nilisoma somo la siasa huku nikikariri ramani ya Tanzania na wakuu wa mikoa/wilaya bila kuwasahau mawaziri, hicho kimayai ningekijulia wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂
Anko hurumia mbavu zangu jamani.! Kwanini mnapenda watu wanishangae duniani huku.!!
 
Back
Top Bottom