Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
Jamani anko kwa ninavyojua mimi ile elimu ya kipindi kile ndiyo ipo muswano kuliko hii ya kwetu ya kugugo kila kitu.!!Ankoo elimu yangu ni ya kipindi kile cha kugusa sikio ndio uanze darasa la kwanza. Ulazima ilikuwa ni kuchunga ng'ombe, darasani ilikuwa ni hiari tu.
Sent using Jamii Forums mobile app