Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Barcelona wenyewe wameripotiwa wakidaiwa watahitaji kulipwa walau Euro 100 milioni kwa timu itakayomchukua Messi mwisho wa msimu hata kama mkataba wake unamfanya awe huru kuamua timu ya kujiunga nayo.