Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mambo yapo hivi. Kwenye kikosi cha Barcelona kuna vuguvugu la chinichini. Jambo hilo limewafanya wajumbe sita wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo kujiuzulu, huku wakimwambia Rais Josep Maria Bartomeu hawapendezwi na namna klabu inavyoendeshwa.