Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Princess Runner au Subway surfer....ila hayana tofauti kubwa, nilikuwa nacheza la princess runner nilivyobadilisha simu sijadownload tena......
Kabla jogoo hajawika nitakuwa nishadownload la Subway surfer
😂😂 Eti kabla Jogoo hajawika

Kweli hayana tofauti japo nilimaanisha Subway surfer, alafu pia kuna Nigh Princess runner basi huyo mdada anaekimbia ana msambwanda hatari
 
🎶/Dunia haina siri leo nimegundua /wale wapenda ngono mzichunge tabia /Demu ameacha orodha, mtaani kuna utata /Orodha inavyoonyesha warembo wa kusaza,🎶

🎶/Dunia haina siri leo nimegundua /wale wapenda ngono mzichunge tabia /Demu ameacha orodha, mtaani kuna utata /Orodha inavyoonyesha warembo wa kusaza,🎶

🎶/Idadi ndefu inasubiriwa,sijui ni nani wenyewe mnajijua /Idadi ndefu inasubiriwa,sijui ni nani wenyewe mnajijua,🎶



Cc: mahondaw
 
😂😂 Eti kabla Jogoo hajawika

Kweli hayana tofauti japo nilimaanisha Subway surfer, alafu pia kuna Nigh Princess runner basi huyo mdada anaekimbia ana msambwanda hatari
Yote yanaitwa Subway surfer/ subway princess runner......
Hahah hiyo Nigh princess wako baki nae mwenyewe (kisa tako. Lol) me nitabaki na Temple Run
 
🎶/Mbona imekua nuksi leo tu mtaani /Watu wanaishi lakini hawajiamini /Kila ninayemuliza kapagawa /Kwani kuna nini kimetokea,🎶

🎶/Mlolongo wa yatima naona unaongezeka /Sijui atawalea nani hawa malaika /Yaliyomsibu Dani yamemkuta na Doni /Jana tulimzika mtoto wake queen,🎶

🎶/Aliyozaa mapacha mimba anaijutia /Kuzikia Kichanga analia ukiwa /Mwajuma ndala ndefu anachachawa /Wala hajiamini hali mbaya,🎶



Cc: mahondaw
 
🎶/Shogae nyumba ya pili kaiaga dunia /Kilichomuua ngoma anasema kifua, /Kilichomkuta kashinde mwenzu makubwa, /Kupima ana ngoma anakonda,🎶

🎶/Nae mama yake besti kaupataje, /Maswali anajiuliza kaupataje, /Kama shule ya msingi kasoma mtoni kwa mama mery, /hana hata mwanaume aliyempigia misele,🎶

🎶/Kamwambie kajoge mwaka huu likizo asije, /Mtaani hakuna amani mwaka huu bora asije, /kamwambie kajoge likizo asije, /mtaani hakuna amani bora asije,🎶



Cc: mahondaw
 
🎶/Dunia haina siri leo nimegundua, /wale wapenda ngono mzichunge tabia, /Demu ameacha orodha, mtaani kuna utata, /Orodha inavyoonyesha warembo wa kusaza,🎶

🎶/Dunia haina siri leo nimegundua, /wale wapenda ngono mzichunge tabia, /Demu ameacha orodha, mtaani kuna utata, /Orodha inavyoonyesha warembo wa kusaza,🎶

🎶/Idadi ndefu inasubiriwa,sijui ni nani wenyewe mnajijua, /Idadi ndefu inasubiriwa,sijui ni nani wenyewe mnajijua,🎶



Cc: mahondaw
 
🎶/Na hawa watoto wa kota sijui vipi hawajiamini, /Nyie mama teri mlimuona bwege, /Panadol ingekua dawa angepona mama andunje,🎶

🎶/Zindua nae ameathirika, /Tunahesabu siku tutazika, /wagombea mabwana siwaoni, /waliyoenda angaza hawajulikani, /Dadae maimuna hanyamazi kulia,🎶

🎶/Kichwani ana mapunye ndiyo anahofia, /Wateja wa mama mbiliki kwaherini, /Yule mama ntilie wa jirani, /alale mahali pema amekufa kwa mengi,🎶

🎶/Biashara ya wali alichanganya na mapenzi, /Semeni msemavyo ugonjwa huu hauna dawa, /Bibi kidude anadunda mtu mzima dawa,🎶




Cc: mahondaw
 
Mood
FB_IMG_1585980457693.jpeg
 
Back
Top Bottom