myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hii unyamwezini unamaanisha wapi?huko kwenu unyamwezini hakuna mvua?
mbeya, mtwara, kigoma, arusha, umasaini, uchagani, usukumani na kwenginekoHii unyamwezini unamaanisha wapi?
Hapa nilipo mvua inapiga tokea jana haijakatikambeya, mtwara, kigoma, arusha, umasaini, uchagani, usukumani na kwengineko
kwetu imeanza majira ya saa 7 usikuHapa nilipo mvua inapiga tokea jana haijakatika
Kuna manyunyuhuko kwenu unyamwezini hakuna mvua?
😂😂😂mbeya, mtwara, kigoma, arusha, umasaini, uchagani, usukumani na kwengineko
Ndio ufanye michakato sasa baada ya miezi tisa upate mavunokwetu imeanza majira ya saa 7 usiku
Upo tayari kutoka kwenye handaki?Wapendwa sio kwa Uchoyo huu
itabidi nifanye hivyo......Ndio ufanye michakato sasa baada ya miezi tisa upate mavuno
afadhali...........hapa nilipo nipo juu ya dari (maji yamejaa kama tupo pwani)Kuna manyunyu
Kwa mfano ukinialika utanigeuza kisusio mpendwa wa Mahondaw
Aiseeafadhali...........hapa nilipo nipo juu ya dari (maji yamejaa kama tupo pwani)