Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kwa leo sio mbayaUpo tayari kutoka kwenye handaki?
Kwa leo sio mbayaUpo tayari kutoka kwenye handaki?
ndio hivyo....... jamii ya watu kama wewe munaoishi kwenye mahandaki hamuwezi kuelewa situation kama hizoAisee
😂😂😂😂itabidi nifanye hivyo......
lakini mashamba ya Zanzibar yana mbwembwe nyingi
Haha mzee wa fix.... Have a blessed Sundayafadhali...........hapa nilipo nipo juu ya dari (maji yamejaa kama tupo pwani)
😂😂😂😂
and you too have a blessed dayHaha mzee wa fix.... Have a blessed Sunday
Aisee wewe kumbe ni mkorofi Sikuwahi kujua
Kuna picha aliweka Moud nikaona umetumia ile emoji ya jana 😀. Kwani vipi?Kwa leo sio mbaya
Picha ipi hiyo mpendwa 😀😀Kuna picha aliweka Moud nikaona umetumia ile emoji ya jana 😀. Kwani vipi?
😂😂😂😂
Ila Smart.....
Uwe na Pasaka njema
yes, wengi wao wapo makini sana linapokuja swala la kuishi pamoja (huamini ndoa ni ufunguo tosha wa kufunga komeo la kutelekezwa).😂😂😂😂
Nasikia mashamba ya huko yanahitaji umiliki wa moja kwa moja sio kukodi kwa muda
mwambie atazame mbele ili asije akamgonga msafiri mwenzake