Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

andaa mbolea ya kutosha......
wamiliki wa huku wanapenda sifa za kijinga.....
mara paap shamba umeuziwa kwa millioni 3......
mara paap shamba limeshawahi kulimwa mashimo ya muhogo, mtama, viazi, kunde.

unabaki kunung'unika kama mbuzi wa IDDI
😂😂😂😂
Pia nasikia mashamba huko yanalimwa sana upande wa nyuma na watu wanaokodi, mpaka ukionyesha nia ya kununua ndio unapewa kipande cha mbele, sasa sijui kama kuna ukweli au ni saundi tu?
 
bahati mbaya nimeishia kidato cha 4 hivyo basi sikuwahi kufanya research ya kilimo pendwa.......
  • huenda ni propaganda zenye lengo la kuzichafua ardhi zetu zenye rutba ya asili
  • huenda pia hiyo habari ina ukweli ndani yake. kama ni kweli basi naamini wanaotenda hayo ni wachache sana na wale wasiofahamu madhara ya kilimo hicho kwa afya ya mazao.
ngoja niongeze elimu zaidi ili baadae nifanye huo utafiti
 
ED4801C6-9250-444C-BC70-32783D54808C.jpeg
 
bahati mbaya nimeishia kidato cha 4 hivyo basi sikuwahi kufanya research ya kilimo pendwa.......
  • huenda ni propaganda zenye lengo la kuzichafua ardhi zetu zenye rutba ya asili
  • huenda pia hiyo habari ina ukweli ndani yake. kama ni kweli basi naamini wanaotenda hayo ni wachache sana na wale wasiofahamu madhara ya kilimo hicho kwa afya ya mazao.
ngoja niongeze elimu zaidi ili baadae nifanye huo utafiti
Pamoja kaka ila wacha tuache hii issue ibaki kuwa kama Propaganda tu
 
Back
Top Bottom