Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji38][emoji38][emoji38]kweli Kaka Ni Noma Sana
Nimewah Cheza kwanzia saa 10 jioni Hadi saa nne usiku sikuamini
Sijaona addictive game Kama ile Aisee
Driving games nyingi huwa na sifa ya kuaddict kwasababu yanakupa uwezo wa kujiona kama kweli upo kwenye chombo husika kumbe upo magetoni tu unaangalia screen na kubofya buttons 😀
 
Ni kijana mwenzetu huyu mpambanaji haswa
Screenshot_20190807-075320.jpg
 
Sababu za kuuza fanicha/samani ulizozitumia ni nyingi. Inaweza kuletwa na sababu tofauti. Inawezekana unataka kununua mpya na nzuri zaidi, una mpango wa kuhamia sehemu ya mbali na hutaki kwenda nayo. Au pia unaweza kuwa tayari una fanicha mpya hivyo hutaki kujaza nafasi kwenye nyumba yako.
 
Tambua Hali ya Samani YakoJambo la kwanza unapaswa kufanya ni kuangalia hali ya kitu chako. Kama ni kochi au meza, viko katika hali gaini? Je, vina alama za michubuko? Je, mwonekano wake bado mzuri? Ukiweza kuainisha vitu kama hivi itakuwa rahisi kujua kiasi gani unaweza kupunguza ili kupata bei halisi ya samani yako.
 
Back
Top Bottom