Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cha muhimu, wakati mteja atakapokuja kukulalamikia kitu, uwe mvumilivu. Ni rahisi kutupilia mbali madai yake kuhusu bidhaa zako na hata kumfukuza. Lakini, chukua muda wa kumsikiliza mteja. Kuwa na subira nao na usikilizee kila kitu wanachosema. Hata kama wanalalamika kitu ambacho hakihusiani na wewe. Uvumilivu ni sehemu ya huduma nzuri kwa wateja.
 
Hahahaha umezoea wakorea wenye kiss za kushtukiza,asipochapwa kofi basi kakubaliwa
yote ameyataka ningendako........acha niendelee kujizoesha.
huyo mwanamke wa kizungu siku ya kwanza ya blind date anapiga mechi ya nyumbani.

pumbavu.....wakati mkorea mpaka umtongoze kwa episode 6 ndio upate kiss
 
Cha kuzingatia, ikiwa unataka kuwa na uhusiano wa kibinafsi na wateja, usiwe roboti. Usitume majibu ya ki-automatiki kwa wateja wako wa karibu. Hakuna mteja atakayefurahi kukutumia ujumbe kisha akajibiwa na ujumbe wa ki-automatiki uliosetiwa katika kompyuta. Tafuta njia za kuonyesha tabia ya biashara yako na ujumuishe wateja ndani yake, hata ikiwa katika ujumbe unaowatumia.
 
Unaweza kutoa punguzo na madili mengine katika sherehe za msimu wa mwaka. Au unaweza kutoa bidhaa za bure kwa wateja wazijaribu, au ile ya nunua-moja-upate-moja bure. Uuzaji huo huhamasisha wateja kuendelea kurudi kwenye biashara yako. Wakati watu wanapenda madili na punguzo katika bidhaa zako, watapenda biashara yako zaidi.
 
Anzisha Mfumo wa Wateja Waaminifu



Pia unaweza kujaribu kuanzisha programu kwa wateja waaminifu kwenye biashara yako. Kwa mfano, mteja anaweza kupata punguzo au vitu vya bure baada ya kutumia kiasi fulani au kutembelea biashara yako idadi fulani ya siku. Kuna migahawa Dar es Slaaam, ilikua inatoka vinywaji na vyakula bure kwa kila mteja atakaye rudi mara ya tatu katika mgahawa huo.
 
Back
Top Bottom