Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aubameyang mkataba wake kwenye kikosi cha Arsenal utafika tamati majira ya kiangazi ya mwaka 2021 na kumekuwa na maelezo kwamba miamba hiyo ya Emirates inaweza kuchukua uamuzi wa kumpiga bei kwenye dirisha lijalo la usajili ili kukwepa kumpoteza bure mwakani.
 
Aubameyang hajawahi kucheza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya tangu alipojiunga na Arsenal akitokea Borussia Dortmund, Januari 2018 na jambo kama hilo linatarajia kuendelea kwa msimu ujao baada ya timu hiyo kukwama kwenye nafasi za katikati katika msimamo. Na sasa Mounguengui amemtaka Auabameyang aliondoke kwenda kutafuta timu itakayocheza kwenye viwango vyake.
 
Sitaki kusema kwamba Arsenal hawana mipango, lakini sioni kama mipango yao ni mikubwa klabu nyingine za Ulaya,” alisema Mounguengui. “Hivyo, kama Pierre atapata mkataba wa kutoa klabu nyingine yenye mipango thabiti, nadhani anapaswa tu kwenda. Kwa kiwango chake binafsi anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji bora duniani, lakini kwa ushauri wangu ninaompa, aendelee kufanya kazi kwa juhuzi kuzivutia klabu kubwa kuja kumchukua.”
 
Klabu vigogo kama Barcelona na Inter Milan zimekuwa zikihitaji huduma ya Aubameyang na Mounguengui amedai kwamba supastaa wao huyo amekuwa akiangushwa na wachezaji waliopo kwenye kikosi cha Arsenal kwa sasa. “Aubameyang ni mchezaji wa kiwango cha dunia,” alisema
 
8B2B97D4-243F-4C89-916E-6BF957ABABB8.jpeg
 
Back
Top Bottom