Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#mchocheajii
Aisee! Basi mpe Hi!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nataka tu kujua pacha wake ni nani
Aaah tuliovalishwa pembe la ng'ombe tutajimwambafai wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahahaππππ
Mimi nimevaa sana magunia kwasababu ya kuongea kilungha, acheni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimetumwa kusanya kuni tu,moto anawasha mwengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuni zenyewe umemwagia petroli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimetumwa kusanya kuni tu,moto anawasha mwengine
Hi I ile milkshake ulisema naweka na avocado eeh?Aisee! Basi mpe Hi!
πππππ
#mchocheajii
Kiberiti nilikifuata mimi ila moto atawasha mwingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimetumwa kusanya kuni tu,moto anawasha mwengine
Ndio maana wewe ni kadogo.
π€£π€£π€£π€£πββοΈπββοΈ ππ yaliyotokea hayakubaliki
#mtuwawatuKD umekodi Task force sio[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KD umekodi Task force sio[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana wewe ni kadogo.
Kama hivi yaan,nimewasha mmoja pakaungua sehemu mbili tofauti[emoji125][emoji125][emoji125]Kiberiti nilikifuata mimi ila moto atawasha mwingine.
Wapi tunasherehekea birthday?
Plus mtu kuachwa
Plus mdogo mtu kukaribishwa
Bila kusahau debut ya carleeen chezeya coco weweeee
Mfungua maombi anne tena kwa kizungu,yai yai haswaaa