Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dk Silvia Lutucuta – Angola

Ni mtaalamu wa fizikia, daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na profesa/ mkufunzi wa chuo kikuu, pia ni mkuu wa kitengo cha utafiti katika shule ya tiba na amewahi kushiriki katika tafiti nyingi zikiwemo zihusuzo magonjwa ya moyo.

Akiwa na miaka 16 alishaingia kusomea utaalamu wa tiba na miaka sita baadaye alihitimu masomo yake mwaka 1990 akiwa ni mwanafunzi mdogo na bora kuliko wote akiwa na umri wa miaka 21 alipata ufadhili wa masomo.

Amesoma katika vyuo vingi akibobea katika fani ya udaktari wa magonjwa ya moyo duniani. Alianza kufundisha akiwa na miaka 19.
 
Dk Wilhemina Jallah – Liberia

Dk Wilhelmina Jallah alishawahi kuwa mkuu wa kitengo cha magonjwa ya kinamama na uzazi katika kituo cha tiba cha F. Kennedy mjini Monrovia, Liberia, naye kama walivyo mawaziri wenzake wanawake hayuko nyuma katika mapambano dhidi ya virusi vya corona.
 
Lizzie Nkosi – EswatiniKati ya mawaziri wanawake wanaofanya vizuri katika nchi hiyo ndogo kabisa barani Afrika, Lizzie ni mmojawapo. Japokuwa nchi hiyo bado haijapata maambukizi ya corona ameweza kufanya matayarisho ya kutoa elimu sahihi kwa wananchi na wataalamu wa afya.
 
Dk Lia Tadesse Gebremedhin – EthiopiaDk Lia amewahi kuwa mkurugenzi mtendaji kitengo cha mafunzo ya afya ya uzazi katika Chuo Kikuu cha Michigan. Pia amewahi kufanya kazi kama mkurugenzi wa mradi wa mama na mtoto kupitia Shirika la Jhpiego nchini Ethiopia.Alipata elimu yake ya udaktari na ubobezi katika Chuo Kikuu cha Jimma na pia Addis Ababa, Ethiopia.
 
Dk Leonie Claudine Sorgho/Lougue– Burkina FasoYeye ni daktari bingwa wa vipimo vya radiolojia na pia ni mkufunzi/profesa katika chuo kikuu anayetoa elimu ya radiolojia lakini pia ni mtaalamu wa ugunduzi wa magonjwa mbalimbali kupitia mashine za radiolojia.Alishawahi kuwa mkurugenzi wa mafunzo na utafiti katika kitengo nyeti katika chuo kikuu cha Ouaga I Joseph KI-ZEBRO kilichopo Burkina Faso mwaka 2015 hadi 2019.
 
Dk Jacqueline Lydia Mikolo–DRCAmeongoza wizara hiyo tangu Mei 6, 2016. Aliwahi kuwa mkuu kitengo cha usimamizi wa manunuzi ya umma katika idara ya kazi.Katika mkutano wa 69 wa Shirika la Afya Duniani (WHO), uliofanyika Mei 23–28 huko Geneva, Uswisi alisimulia namna nchi hiyo ilivyopiga hatua katika mapambano ya maradhi na mipango iliyojiwekea kwa kipindi cha mwaka 2016-2021.
 
Wapi tunasherehekea birthday?

Plus mtu kuachwa

Plus mdogo mtu kukaribishwa

Bila kusahau debut ya carleeen chezeya coco weweeee

Mfungua maombi anne tena kwa kizungu,yai yai haswaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wametoka chimbo kuja ku wish bday(so sweet[emoji4][emoji4] hii inaonyesha ni jinsi gani wanapendana)

Kwenye kuachwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kama maskhara vile yaani ile [emoji113] usije[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hivi vizungu vya leo nimejing'ataje ulimi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom