carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwetu avacado ni shida la sivyo ingenikoma.Aisee umetisha sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sasa jaribu hiyo alafu ufanye comparison na ile ya mwanzo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyingine jaribu ndizi+peanutbutter+maziwa+choco
nimemuona mchumba wangu kutoka korea HAN HYO JOO.......Angalia Treadstone
Hahah! Sikuona hiyo emoj hapo mwishoni, inachekesha ukilinganisha na sentensi yako
Hahaaa!!Mimi na wewe hatujivungi ndio maana tunafananishwa [emoji3]
#letusenjoylifebehindthelife
Basi huna mapenzi na Chocolate
Nyie ndo wazuriMimi na wewe hatujivungi ndio maana tunafananishwa [emoji3]
#letusenjoylifebehindthelife
Kama Ndizi inapatikana unaweza kutoa Avocado ukatumia ndizi tuKwetu avacado ni shida la sivyo ingenikoma.
Sema napenda rangi ya choco mimi ningeweka nyinyi nipate ile rangi [emoji39][emoji39]
Hawezi chocolate huyu nishamuonaSiku nyingine jaribu ndizi+peanutbutter+maziwa+choco
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Sikuona hiyo emoj hapo mwishoni, inachekesha ukilinganisha na sentensi yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu upo utaonyesha uchizi wa kiwango utakacho
Hahah! Yaani hiyo # inavyobadilika kila dakika nimecheka mnoHahaaa!!
[emoji119][emoji119]
#YOLO