Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kitu mpya
Naona kasi inaongezeka, mzee hebu tuone barakoa yako.Kitu mpya View attachment 1420014
Sio poa mzee, embu anza kushtua na yakoNaona kasi inaongezeka, mzee hebu tuone barakoa yako.
Nilishasahau hata kilikuwaje[emoji119][emoji119]
Kwenye ubora wake na kile kideo kilikuwa cha kibabe sana enzi zile ...
oyaaa hizo mask sijui barakoa zinauzwa bei gani?Sio poa mzee, embu anza kushtua na yako
Idadi lazima ipande kabla ya kuanza kushuka, zile namba za +254 lazima tuziguseDah!!
Hali inazidi kuwa ngumu
Labda kuchanganya kazi na masuala binafsiSababu nini?
Uzuri wa hii tasnia ukishakua na jina basi huwezi kumaliza hata siku tatu hujapata shavu sehemu nyingine, simu yake hapo itaanza kuwa busy akitafutwa vituo vingine
Inategemea maeneo na maeneo pia na aina ya mask yenyewe, ila zile za kiuananchi wa kawaida zinacheza kwenye elfu 3 mpaka elfu 6. Ila kuna zile wanatumia wakina Mo Dewj sijajua ni bei gani....oyaaa hizo mask sijui barakoa zinauzwa bei gani?
nakufaaaaaaa
Mbeya bado mpo salama
Una kikohozi kikavu?oyaaa hizo mask sijui barakoa zinauzwa bei gani?
nakufaaaaaaa
Zile namba lazima tuziguse na inawezekana pia tukazipita.Idadi lazima ipande kabla ya kuanza kushuka, zile namba za +254 lazima tuziguse
mafuaUna kikohozi kikavu?
Itakuwa hivyo aisee maana inaweza chafua image ya Kampuni anayofanyia kaziLabda kuchanganya kazi na masuala binafsi
Location ilikuwa Garage jamaa kama fundi fundi hivi....Nilishasahau hata kilikuwaje
Njoo ulibembeleze nakuaminia
...........sogea sogea we cheza nami
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah naombea siku ya safari yangu ifike haraka kabla hawajatoa tamko lingineZile namba lazima tuziguse na inawezekana pia tukazipita.
Kwa hali ya mtaani hali ni mbaya mnoo.
Nimeona makonda anasema kama huna safari ya maana ya kukupeleka ama kukutoa dar kwenda sehem nyingine ni kheri ubaki ulipo
Hiyo kauli ya Madreva itazidi kukua mpaka itafikia msitoke ndaniZile namba lazima tuziguse na inawezekana pia tukazipita.
Kwa hali ya mtaani hali ni mbaya mnoo.
Nimeona makonda anasema kama huna safari ya maana ya kukupeleka ama kukutoa dar kwenda sehem nyingine ni kheri ubaki ulipo